Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Argentina kwamba ni kimeo sana mpaka kupewa hizo odds zote hizo...
Screenshot_20190326-165208.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mhanga wa 1xbet nili kata tamaa na kutoa sadaka ya M.8 niliyoshinda kutoa ikawa haiwezekaniki, unatoa kwa benk inakaa muda inarudi kwenye akaunti, mwisho wa siku nikaambiwa nitume vitambulisho, passport, bank statement, ili nitumie skrill nilipo soma kwenye mablog ya nchi mbalimbali nikakuta wanalalamikia kitu hicho hicho nikajikatia tamaa.
Duuh Mil8 aisee hatarii...

mkuu mbona watu wanatumiwaga mpunga wao kama ukifanikiwa kuwatumia documents wanazohitaji. Au uliona ni usumbufu
 
MAXBET ALL N THX
[3/26, 9:13 PM] Prince Charming GEM: Maxb
Spain ov2.5
Romania 1/1
Sweden und 3.5
ITALy ov2.5

*MAXB*
[3/26, 9:28 PM] Prince Charming GEM: *MAXB*
SWEDEN OV 1.5
SPAIN 2.5
ROMANIA OV 1.5
ITALY OV 2.5
 
Mkuu mda si Mrefu Nitahamia 1XBET, pamoja na Changamoto zake..!!
Bora tu tuhamie huko mkuu maana haya makampuni ya kimatumbi yameanza kuleta uqumer. Premier wameongeza kodi hadi 20% na wamefuta bonus😵🙄😳

***** zao..mxiiiiiii!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom