Sidhani kama wana jipya la maana sanaHawa jamaa wanavyosubiriwa sijui watakujaje aiseeView attachment 1055495
Mkuu nilijaribu, sio mbaya lakini inahitaji machale hasa.Haya jamani nimetoka kupiga sasa hivi na zero bet kazi kwenu ndugu zangu numebet kuanzia dakika ya 80 hapo.
View attachment 1055490
Sent using Jamii Forums mobile app
ULIJUAJE MWANANGUHawa jamaa wanavyosubiriwa sijui watakujaje aiseeView attachment 1055495
Kuna chochote kipya huko au ni chupa tu imebadilishwa lakini mvinyo uleule.PREMIER BET MAMBO TAYARI HUKOOO
"World war Z"
Kweli mm sjawaelewa premer au Ni mm sjajua kutafuta ?Kuna mech za league 1 England mbona siioni naona ligi kuu tu au hzi za chini hazipo?Kuna chochote kipya huko au ni chupa tu imebadilishwa lakini mvinyo uleule.
Kuna chochote kipya huko au ni chupa tu imebadilishwa lakini mvinyo uleule.