Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
AiseeHahaaaa...duuhView attachment 1055612
Mwanangu hakuna jipya nilijua labda wataongeza option ndo kwanza wamepunguza na bado kuna kodi vile vile
"World war Z"
Kweli mm sjawaelewa premer au Ni mm sjajua kutafuta ?Kuna mech za league 1 England mbona siioni naona ligi kuu tu au hzi za chini hazipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye Kodi ndo wamenifanya kabsaa nibaki betpowaCliki pale kwenye tar 30 game zipo zimejaa tele English wote wapoo
Kwanini usiweke kabla ili tudese?Haya jamani nimetoka kupiga sasa hivi na zero bet kazi kwenu ndugu zangu numebet kuanzia dakika ya 80 hapo.
View attachment 1055490
Sent using Jamii Forums mobile app
Zero bet mfano simba anacheza na yanga imefika dakika ya sabini matokeo labda tufanye wapo 1-1 nikaweka zero bet nikampa simba inachotakiwa hapo simba atie goli na ashinde kwa muda uliobakia.
Mkeka huu, katika ile minne nloituma hapo awali, tayari umeshatiki. BET WON.
TUKUMBUSHANE AFTER MATCHMAXBET MAXBET
View attachment 1055500
Mzee unafanyaj mbona me kwangu inagoma?Mwanangu hakuna jipya nilijua labda wataongeza option ndo kwanza wamepunguza na bado kuna kodi vile vile
"World war Z"