Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 769
- 1,239
POLE MKUUUU NILIKUWA NAZIKA NIKIPATA MDA NACHUNGULIA NAGEUKA
Ninachoipendea basketball timu yenye odds kubwa sana dhidi ya timu yenye odd ndogo sana matokeo kubadilika ni mara chache, ila odd zinakua ndogo sanaBasket inapukuchua hela sana. Bila umakini hapa, ghafla tu within minutes, unalia
Mmmhh mkuu una moyo. Zote hizo? Mi inplay inanilipa ila sasa, upepo ukibadilika tu kidogo, ni hasara zinaanzaNinachoipendea basketball timu yenye odds kubwa sana dhidi ya timu yenye odd ndogo sana matokeo kubadilika ni mara chache, ila odd zinakua ndogo sana
Ukiona tofauti ya odd ni ndogo utabiri unakua mgumu kama footbal
Hapo nasubiri 6 kati ya 15 odd 3 tuView attachment 1055717View attachment 1055718
ImeitikaaNabembeleza odd 2+View attachment 1055720
Tega hapo mapemaBasket inapukuchua hela sana. Bila umakini hapa, ghafla tu within minutes, unalia
ImeitikaaWameipiga pin
Nimewapa under 0.5 homeView attachment 1055727
Kafidia hasaraSource BetsWallView attachment 1055629