Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Matokeo ya jana haya
IMG_20190328_054527.jpeg
IMG_20190328_054600.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kazi betting ishakua kazi rasmi kama ujasiriamali wowote ule kwanza tunatumia akili mingi sana kuliko baadhi ya shughuli nyinginezo actually sisi ni risk take na always marisk take ndio hufanikiwa kwenye life.

Sasa kama imekua ajira rasmi nawaomba tuunde kiikundi ambao tutakua tunashauriana namna ya kuboresha huu ujasiriamali na kwa kuanza napendekeza tuanzishe group la whatsap kwa wale walio serious ili tutengeneze money.

Alie tayari tunaweza kuanza kutumiana namba ili kuungwa,unaweza kuiweka hapa au ukanitumia imbox,yangu ni 0753282776,karibu tuboreshe maujanja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Magroup ya kubeti yapo zaidi 1000 hapa bongo na kote huko unachokiona kinafabyika hapa na huko kwenye magroup kinafanyika hicho hicho yani Hakuna jipya!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jaman hawa premier nimefungua nimekuta mpangilio mpya kabisa na nimekuta 1000 ya bure, ila option ya red card siioni huwa inaniokoa nikiwa nimepigwa,


Aliyeiona hiyoo option wakuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom