Parimatch.co.tz
Galsportbetting.co.tz
Pmbet.co.tz
"World war Z"
Galsportbetting.co.tz
Pmbet.co.tz
"World war Z"
Poa poa, shukrani kwa taarifaNi KCB boss, ila kudeposit 1XBET haikubali. Inakubali MELBET ambayo inafanana kila kitu na 1XBET. Kingine kwenye kuwithdraw unakatwa elfu 3.
Pamoja.Poa poa, shukrani kwa taarifa
Kwa lugha nyepesi zero bet maanake unafuta matokeo yaliyopo, maana yake mechi inakuwa 0-0, unachagua timu itakayoshinda au kudraw kuanzia hapo ulipoweka betZero bet mfano simba anacheza na yanga imefika dakika ya sabini matokeo labda tufanye wapo 1-1 nikaweka zero bet nikampa simba inachotakiwa hapo simba atie goli na ashinde kwa muda uliobakia.
Mfano wa pili simba anacheza na yanga dakika ya sabini matokeo fufanye 2-1 zero bet nikampa simba inamaana simba ashinde goli la tatu na yanga asipate goli inamaana simba akipata goli na yanga akapata inakuwa ni suluhu mkeka unakufa
Mfano hapo hapo ukampa zero bet yanga ina maana yanga apate goli mechi iishe sare au yanga ashinde
Zero bet maana yake unafuta matokeo yaliyopo unaanza upya
Kama hujaekewa Unaweza uliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Parimatch.co.tz
Galsportbetting.co.tz
Pmbet.co.tz
"World war Z"