Mzenji acha kuzingua mwanangu
"World war Z"
Mbona wameingiza mizigo Mzee mapema tu
"World war Z"
Mbona wameingiza mizigo Mzee mapema tu
Acha kuwatishaKuweni makini na hizo line za safaricom
Kumbuka hazina majina yenu, ikitokea umesahau password imekula kwako
Ikitokea ikapotea jua umepoteza hela zote
Pia anaye wauzia anaweza isajili upya na kuchukua hela zilizomo
Kuweni makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Diner saved
Mura weito Malema naipataje line ya Safaricom?Mm nimeiweka Safaricom kwa kitochi, na inapiga mzigo safi tuuu kwa ajili ya kudeposit na kuwithdraw kama kawaidaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii nlikuomba ufafanuzi ukapotezeaHaya jamani nimetoka kupiga sasa hivi na zero bet kazi kwenu ndugu zangu numebet kuanzia dakika ya 80 hapo.
View attachment 1055490
Sent using Jamii Forums mobile app