Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu naomba mwenye link hii anisaidie, mimi kila nikifungua inanigomea au imebadilishwa?

 
Daah, hawa premier bet naona wameamua wafuate nyayo za meridian.
 
Wakubwa nisaidien hapo nimewithdraw hela kutoka premier bet haijafika kwa mda sasa nikaamua kufuatilia history nikakuta nimeandikiwa stutus “LOST” nisaidie mwenye ujuzi nifanyeje ili nipate hela yangu??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wadau mtu mmoja anaelewa vizuri inshu ya Safaricom aje anipe tip inbox. Napata tabu sana kutoa hela kupitia bank maana jamaa analimit isipungue 132,000. Maisha yetu ni kuwinda elfu 40 hadi 50 per day hivyo mfumo wa bank nanyooshwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…