Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nikiuangalia huu mkeka natesekaa
Shumabet zake bayani nili tumia akili mingi kweli kuusuka
 
Ata siamini, kumbe M bet wamebadilika kiasi hichi. Leo nimeweka mkeka saivi ndo nashangaa wameniingizia gawio langu. Mara ya mwisho kubet m bet ilikua hata ukishinda mpaka siku ya pili ndo unaekewa mpunga
 
Mnaonaje wadau
Ac huwa hafurukuti kwa hiyo timu
Atletico kashikilia mchezo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…