Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chelsea ni mjinga sana sitambetia hata iweje hata acheze na mbao labda nimpe afungwe
Sitakuja msahau alipocheza na watford akarudishiwa goli 2 na nilikuwa nimeweka 4.9 mil zikaliwa iliniuma sana sijasahau hadi 2050

Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana!mi ndio sababu sometimes mzigo mkubwa wa kujilipua uwa naweka option ya second half OVER 0.5, 90% ya team kubwa huwa zinatoa hii na odds zake huwa nzuri. Anyway ajali kazini tu
 
Nishakata tamaa
Kiporo kimechacha hiki
Screenshot_2019-03-31-17-49-08-1.jpeg
 
Chelsea ni mjinga sana sitambetia hata iweje hata acheze na mbao labda nimpe afungwe
Sitakuja msahau alipocheza na watford akarudishiwa goli 2 na nilikuwa nimeweka 4.9 mil zikaliwa iliniuma sana sijasahau hadi 2050

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaa
Mkuu naomba futa kauli
Alikua anaturusha roho kidogo
[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom