Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1059332


BET WON
 
Chelsea walikuwa na uwezo wa kuwa nafasi ya 3 toka mechi ilopita sema ujinga wao wako nafasi ya 6
Leo imeniuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu pia tushukuru EPL hawatumii VAR ... ingekuwa Spain goli la kusawazisha lingefutwa maana ilikuwa ni clear offside.

Maombi yanageuka kwa Liverpool sasa na Young Boys.







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom