Ha ha ha ha haha uyo hafaiHili livuta fegi sijui lilimuweka Hazard benchi ili iweje ... ndo kamuingiza saiv. Huku ni kukumbuka shuka kumekucha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea ni mjinga sana sitambetia hata iweje hata acheze na mbao labda nimpe afungwe
Sitakuja msahau alipocheza na watford akarudishiwa goli 2 na nilikuwa nimeweka 4.9 mil zikaliwa iliniuma sana sijasahau hadi 2050
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sana!mi ndio sababu sometimes mzigo mkubwa wa kujilipua uwa naweka option ya second half OVER 0.5, 90% ya team kubwa huwa zinatoa hii na odds zake huwa nzuri. Anyway ajali kazini tuChelsea ni mjinga sana sitambetia hata iweje hata acheze na mbao labda nimpe afungwe
Sitakuja msahau alipocheza na watford akarudishiwa goli 2 na nilikuwa nimeweka 4.9 mil zikaliwa iliniuma sana sijasahau hadi 2050
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea ni mjinga sana sitambetia hata iweje hata acheze na mbao labda nimpe afungwe
Sitakuja msahau alipocheza na watford akarudishiwa goli 2 na nilikuwa nimeweka 4.9 mil zikaliwa iliniuma sana sijasahau hadi 2050
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana hunijui sikujui
Waulize waanzilishi wa jukwaa watakueleza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanashinda
Kiongozi utakua mgeni wa hili jukwaa aiseee....watu hawaweki tu ticket zao humu. Amini tu usiwe kama Thomaso
Asante, uliongea na mm nikatenda kmya kmyaHizi odd za Cean tutazikumbuka baadae
Monaco wamekua mdebwedo mmnoView attachment 1059219
Ha haaaChelsea ni mjinga sana sitambetia hata iweje hata acheze na mbao labda nimpe afungwe
Sitakuja msahau alipocheza na watford akarudishiwa goli 2 na nilikuwa nimeweka 4.9 mil zikaliwa iliniuma sana sijasahau hadi 2050
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanashinda
Aisee odd zilifika ngapi?Chelsiiiiiiiiiiiii