officialfaheeed
JF-Expert Member
- Jan 31, 2019
- 389
- 233
Hawa betpawa pumbavu kabisaSasa hivi wameiweka lakini wameiblock
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa betpawa pumbavu kabisaSasa hivi wameiweka lakini wameiblock
Hahahaaa.. yanaogopa kuliwa hayo!
Inabidi mpunguze kulalamika maana mmewakomalia wenyewe wakati kuna makampuni lundo
Ile pressure huwa sio mchezo yaani,huu mkeka niliuweka mara mbili nikijua mwanzo haujakubali coz balance haikupungua na slip haikuwa cleared so nikajikuta sina balance kwenye account.Sasa pressure niliyopewa na hzo mechi mbili za mwisho acha kabisa.
View attachment 1059613
Yaani nimecheka ila poleMuajentina huyu kanitokea wap usiku huuView attachment 1059711
Bado madrid mkeka utiki. Hivi kweli madrid ya zizu inaweza toa droo au kufungwa na hawa mafala?
Jamani msione magoli yanaingia kizembe zidane. Kamweka mwanae goliniDuh hii madrid itaua mtu kwa presha
Pole comrade! Kumbe watu mnastake bajeti ya 'ukoo', na timu zinaipeleka kwa mhindi.Chelsea ni mjinga sana sitambetia hata iweje hata acheze na mbao labda nimpe afungwe
Sitakuja msahau alipocheza na watford akarudishiwa goli 2 na nilikuwa nimeweka 4.9 mil zikaliwa iliniuma sana sijasahau hadi 2050
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbappe kaweka tayariMpuuzi mwingine ni PSG.. Mpaka sasa bado anasuasua tu!
Dah.. Afadhali!Mbappe kaweka tayari