HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Wakuu huu ni mkeka wangu wa mwisho for now
Kuanzia kesho ntakua kikazi porini kama wiki mbili
Sitakuwa hewani
Wishing u all da bestView attachment 1059390
Kwenye betting fursa njenjeView attachment 1059495
Hawa ni premierbet, web version!!Napiga kote premier na 1xbet
Ile pressure huwa sio mchezo yaani,huu mkeka niliuweka mara mbili nikijua mwanzo haujakubali coz balance haikupungua na slip haikuwa cleared so nikajikuta sina balance kwenye account.Sasa pressure niliyopewa na hzo mechi mbili za mwisho acha kabisa.Hakyanani timu nilizochagua leo kwenye mkeka wangu japo zimetoa zote lakini pressure nlioipata najua mwenyewe ...
Just imagine, alikuwepo ...
- Chelsea
- Young Boys
- Liverpool
- Eintratch Frankfurt
Hao watatu wa kwanza wameshinda game zao dk za lala salama.
Wacha nipige Castle Lite sasa nimalizie weekend mamaee. Hii kazi ina pressure balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari MkuuUngefanya kweli ungekuwa unacheka kwa unakenua tu
Hahaaaa...
Wamenikera nilitaka niipe GG HT,nashangaa siioni.Wabetpawa mpo? Real madrid hayupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] betting za bongo hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Buyern ndiye kachana week hiiTAHADHARI:Jamani msije mkamsahau Dortmund Huwa Haaminiki 100% weekend hakosekani Mchawi tuwe Makini tusije Tukalia badae.
Chelsea ni mjinga sana sitambetia hata iweje hata acheze na mbao labda nimpe afungwe
Sitakuja msahau alipocheza na watford akarudishiwa goli 2 na nilikuwa nimeweka 4.9 mil zikaliwa iliniuma sana sijasahau hadi 2050
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi wameiweka lakini wameiblockWabetpawa mpo? Real madrid hayupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] betting za bongo hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
acha wachezeeZidane msenge nae kampanga mwanae aanze kudaka golini...washatandikwa kamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah GG HT Hiyooo, mapema tu.Wamenikera nilitaka niipe GG HT,nashangaa siioni.