Hivi mkuu umeangalia hizi draw ziko ngapi?Hakuna uongo hapo
Na kuna mtu kahit 16
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu umeangalia hizi draw ziko ngapi?Hakuna uongo hapo
Na kuna mtu kahit 16
Tatizo arsenal ahaminiki sana muda wowte anachana
Ningeweka hata laki 5 hv ila hapana Barcelona na man city tu ndio nawapaga pesa nyingi
Mpe magoli sasa au konaTatizo arsenal ahaminiki sana muda wowte anachana
Mkuu dunia ya leo unaweza kudanganya matokeo kwenye issue kama hii ya matokeo?
Uli deposit kwa njia ipi?Jamani ninaomba mwenye kutumia 1xbet anisaidie kufanikisha kuwithdrawl pesa kwa kutumia mastercard. Kama mnavyojua 1xbet imeondoa huduma ya miamala kwa njia ya simu. Anisaidie maana ninazaidi ya mwezi nahangaika na sijafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa unanyota ya utajiri sema unaonekana muoga Sana. Ebu ondoa uoga INGIA kazini kwa pesa zinazoeleweka