The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Wikiendi hii hakuna sadaka epl iliyotolewa. Arsenal anaweza kua sadakaNi kweli leo Arsenal anashinda. Weka pesa yako yote uliyokua nayo. Leo lazima ashinde kwani timu nzima iko fiti
Wikiendi hii hakuna sadaka epl iliyotolewa. Arsenal anaweza kua sadakaNi kweli leo Arsenal anashinda. Weka pesa yako yote uliyokua nayo. Leo lazima ashinde kwani timu nzima iko fiti
1xbet ni wadhamini wa klabu bingwa Africa pamoja na Afcon, hivyo kuonekana matangazo yao viwanjani wakati wa mechi ni jambo la kawaida kulingana na matakwa ya mkataba wao hata kama hawajasajiliwa hapa. Kwa hiyo ukienda huko ni kama unapoteza muda wako bureMimi nilipata M.8 nikaangaika kama mwezi ukitoa hela inarudi tena..... nikahangaika ....nikashauriwa nitumie skrill ikashindikana.....baadaye nikakasirika nikazicheza hovyo zooote zikaisha ....nikaachana na hiyo kampuni na sitaki kuisikia kabisa.....maana ku deposit kwa kutumia master card au visa ni sekunde tuu ila kutoa kwa njia hiyo hiyo haiwezekaniki....NINATAFUTA MUDA NIONANE NA TARIMBA ABASI MAANA NAONA MATANGAZO YA HII KAMPUNI BADO YAPO KWENYE VIWANJA VYETU VYA MICHEZO WAKATI HAWAJAWEZASHA WACHEZAJI MFUMO LAINI WA KUWEKA NA KUTOA FEDHA ZAO...WANAFANYA KAZI GANII....WATU WANAHANGAIKA MARA BITCOIN...MARA LAINI ZA SAFARICOM.... HALAFU WANAKUBALI KAMPUNI KAMA HIYO KUENDELEA KUTANGAZA MATANGAZO NCHINI>>>???
Nliweka tmu 30 psg anetoa Jana ningebakisha mechi 4 ambazo Ni arsenal,man u ,Juventus na man city kutoa arsenal zilizobaki n uefa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba tu zitoe nirudi hata machungu kidogo ya milion 2 nilizozikosaYaani hzo tmu 3 zilizobaki zikiniangusha ntajua muindi n mchawi kabsaa. Leo lazma nimuotee hata iwejeView attachment 1060475View attachment 1060476
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ifikapo julay moja makumouny ya kubetia yatanyang'anywa leseni tuchukue tahadhari wa safari com
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nchi inatoa over 1.5 dunian Kama Netherlands hyo ndo nchi pekee ya kumpigia muindi kwa magoli hawafai yaani Hadi over 2.5 inatoa . Hko hko ndo ntakuwa naenda na muindi mpaka atoe hzo mechi za netherlandNaomba tu zitoe nirudi hata machungu kidogo ya milion 2 nilizozikosaView attachment 1060481
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa newcastle wakicheza na chelsea au man city ndo wanakaza. Sio arsenalWikiendi hii hakuna sadaka epl iliyotolewa. Arsenal anaweza kua sadaka
Kenya ifikapo julay moja makumouny ya kubetia yatanyang'anywa leseni tuchukue tahadhari wa safari com
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ziko vizur ila kuna siku unaweza lia ,tena 0-0Hakuna nchi inatoa over 1.5 dunian Kama Netherlands hyo ndo nchi pekee ya kumpigia muindi kwa magoli hawafai yaani Hadi over 2.5 inatoa . Hko hko ndo ntakuwa naenda na muindi mpaka atoe hzo mechi za netherland
Sent using Jamii Forums mobile app
POA POALeseni za kampuni 20 za betting kenya zitafutwa sababu kubwa ni kuwa kampuni hazilipi kodi....
Kuwa zilipata zaidi ya trillion 4 kwa mwaka jana ila zililipa kodi ya tsh 80bilion pekee
Ili zipewe leseni zitatakiwa kuonesha kuwa zimelipa kodi sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni gani hiyo mkuu nijiunge na mimiWadau kuna siku nimetumiwa pesa wakati sijabeti nikaangalia mkeka nikakuta nimewekewa timu 14 eti
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeWadau kuna siku nimetumiwa pesa wakati sijabeti nikaangalia mkeka nikakuta nimewekewa timu 14 eti
Sent using Jamii Forums mobile app