Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi mkuu umeangalia hizi draw ziko ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dunia ya leo unaweza kudanganya matokeo kwenye issue kama hii ya matokeo?

Apps kibao zinakupa live updates
Au google mechi moja baada ya nyingine utapata majibu

Jackpot ni noma mkuu wanachagua timu ambazo hazina hazina uhakika

Hapo unavyoona wewe kuna mtu kakosa mechi moja tu
 
Ni kweli leo Arsenal anashinda. Weka pesa yako yote uliyokua nayo. Leo lazima ashinde kwani timu nzima iko fiti
 
Jamani ninaomba mwenye kutumia 1xbet anisaidie kufanikisha kuwithdrawl pesa kwa kutumia mastercard. Kama mnavyojua 1xbet imeondoa huduma ya miamala kwa njia ya simu. Anisaidie maana ninazaidi ya mwezi nahangaika na sijafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…