Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1xbet ni wadhamini wa klabu bingwa Africa pamoja na Afcon, hivyo kuonekana matangazo yao viwanjani wakati wa mechi ni jambo la kawaida kulingana na matakwa ya mkataba wao hata kama hawajasajiliwa hapa. Kwa hiyo ukienda huko ni kama unapoteza muda wako bure
 
Nchi za kubetia over 1.5 au 2.5 ndo hzo hapo uweke n uingereza, Belgium na ujeruman lazma muindi akimbilie central kuwa analiwa Sana na wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leseni za kampuni 20 za betting kenya zitafutwa sababu kubwa ni kuwa kampuni hazilipi kodi....

Kuwa zilipata zaidi ya trillion 4 kwa mwaka jana ila zililipa kodi ya tsh 80bilion pekee

Ili zipewe leseni zitatakiwa kuonesha kuwa zimelipa kodi sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…