Nachanganya inategemea na game yenyeweKAKA EMBU NAMBIE WW UNAWEKAJE MECHI KUMI NA TISA (19) AU KUMI NA SITA (16) na unampiga MHINDI ...... MAANA NINA HASIRA NAE HUYU FALA MHINDI BASI TU.....
NAMBIE UNAWEKA 2+ ZOOOTE AU NORMAL WIN AU FOUBLE CHANCE
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatumia njia gani kutoa na kuweka kwa mrusiPesa ya mrusi[emoji180]...Money LaunderingView attachment 1061089
Sent using Jamii Forums mobile app
bitcoins[emoji111]Mkuu unatumia njia gani kutoa na kuweka kwa mrusi
Sasa kama huu mkeka mechi kumi na tisa (19) unakuwa na jumla odds ngapi??? Maana nimeona odds 1.06 1.0X ???
Hiii kampuni gani mbona odd kubwa hivooVuvuzela, Juve,Man,Barca. Najua Mechi zote ni ngumu Naamini leo ndo tutaona shughuli ya walewaliovunja record za usajili. Na isitoshe mojawapo ya hivi vitatu kuna kimoja kinakwenda kubeba ndoo ya UEFA. Good luck.View attachment 1060864
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazeeeeeeee..... muwe mnatupia mikeka kabla ya 'magemu' kuanza.. ili na sisi tuone namna ya kuunga tela.
My bux kwa kuweka hela 1Xbet ina gharama za kulipia kama bitcoin?,
Kwa wale walio tumia plse
Sent using Jamii Forums mobile app
Chap sanaMkuu, nilikuwa sijawahi kuicheki ""Mcheza"" aisee wako bomba sana.
Vipi kuhusu ""kuWITHDRAW""? Inachukua muda gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo siwezi hiyo hali,tukomae huku huko localIpo tena kubwa! Maana vocha ya jero wanauza 948 [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums