natumia meridian mkuu sema hii option siielewagiIla unapatikana meridian mzee achana na makampuni mengine sijui kuweka hela ishu kutoa hela ishu mi dk 0 inaingia kwenye tigopesa na naitoafasta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ft ×ov 0.5Wakuu huu mkeka ninekulaje? wamejisahau au mimi ndo sikujua nilichofanya.maana yangu hapo ilikuwa timu ya nyumbani ishinde 0.5 matokea ni wa ugenini ameongoza kipindi cha kwanza kakini nimepewa helaView attachment 1061165
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliona dodo kama Mimi kwa bwana Paul S.S waende kwa wakala wakachukue hela yaoHii game vp?
Anaongoza na ana odd mlimaView attachment 1061117
1H maana yake First Half na sio home teamWakuu huu mkeka ninekulaje? wamejisahau au mimi ndo sikujua nilichofanya.maana yangu hapo ilikuwa timu ya nyumbani ishinde 0.5 matokea ni wa ugenini ameongoza kipindi cha kwanza kakini nimepewa helaView attachment 1061165
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umeweke over1.5 ft na over ya 0.5 fh basi,hujachagua hom au away,zaidi ya first half na full timeWakuu huu mkeka ninekulaje? wamejisahau au mimi ndo sikujua nilichofanya.maana yangu hapo ilikuwa timu ya nyumbani ishinde 0.5 matokea ni wa ugenini ameongoza kipindi cha kwanza kakini nimepewa helaView attachment 1061165
Sent using Jamii Forums mobile app