Inaweza kuwa sababu aiseelMpuuzi kinoma aisee.. kumbe alikula umeme!
Anaongoza 2-0Inaweza toka draw
Hii vita nimemwachia Samatta anipiganie sasa.
Ndio kashinda mzazi! [emoji16][emoji16][emoji106]Inaweza toka draw
Alininyima pesa nzuri few days back sitaki hata kumsikia yaani nikimuona huwa namkwepa tu kama simjui maana alibaki yeye tu na still akatoka 0-0
Namsubiria yeye tu messi nipe hela nikuheshimuBarcelona anataka kuleta ujinga usiku huu..
Kapigwa la tatu!
Maneno yangu naomba yakumbukwe kuhusu Barcelona Leo.Katika tetesi ni kuwa baadhi ya nyota wa Barcelona watapumzishwa leo, ni bora kuweka magoli au double chance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu!! Haikuwa siku nzuri.. huku Man U, kule Barca hatari tupu.
Yani leo messi ndio nitamuelewa akiniokoa hata sare tu narudisha pesa yangu najipangaKabisa mkuu!! Haikuwa siku nzuri.. huku Man U, kule Barca hatari tupu.