Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah madogo wanapiga mpira daaaaah.. Wameshinda game hii,, Barca kachana pumbav zake
kocha wa Barca amefanya mchezo alioufanya Maurizio Sarri wa Chelsea weekend. Messi, Gerard Pique walikuwa benchi ... ameona mambo yanaharibika ndo anakurupuka kuwaanzisha.

Vita na Kanji ni ngumu sn, maana tunapambana na maadui wengi wanaomsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli kabisa mkuu umeongea point hii kazi kwakeli ningumu
 
Barca...
Lyon...
Man U...
Genk...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa ningewaua leo kanji angerudi kwao na miguu lakini sasaa[emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika tetesi ni kuwa baadhi ya nyota wa Barcelona watapumzishwa leo, ni bora kuweka magoli au double chance.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] Maneno haya yakumbukwe daima.[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliweka elfu 10 barca na juve washinde nile 30 ila baada ya barca kuongozwa 4-2 nikafuata barca apate goli ilikuwa na 3 odds nikatia 30 do or die nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiacha tamaa boss unaweza anza kumuona kiaz[emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20190403-003026.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom