Ngoja niijaribu hii ...
Highest Scoring Half (Half With Most Goals) = 2nd Half
- Cagliari/Juventus
- Venezia/Cittadella
- Atletico/Girona
Sent using Jamii Forums mobile app
kocha wa Barca amefanya mchezo alioufanya Maurizio Sarri wa Chelsea weekend. Messi, Gerard Pique walikuwa benchi ... ameona mambo yanaharibika ndo anakurupuka kuwaanzisha.
Vita na Kanji ni ngumu sn, maana tunapambana na maadui wengi wanaomsaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu umeongea point hii kazi kwakeli ningumukocha wa Barca amefanya mchezo alioufanya Maurizio Sarri wa Chelsea weekend. Messi, Gerard Pique walikuwa benchi ... ameona mambo yanaharibika ndo anakurupuka kuwaanzisha.
Vita na Kanji ni ngumu sn, maana tunapambana na maadui wengi wanaomsaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani leo messi ndio nitamuelewa akiniokoa hata sare tu narudisha pesa yangu najipanga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] Maneno haya yakumbukwe daima.[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Katika tetesi ni kuwa baadhi ya nyota wa Barcelona watapumzishwa leo, ni bora kuweka magoli au double chance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Barca...
Lyon...
Man U...
Genk...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa ningewaua leo kanji angerudi kwao na miguu lakini sasaa[emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asavaaaaaaaaliiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Asavaaaaaaaaliiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app