Dah mkuu ulijaribu kwa bitcoin angalau?Mimi nilipata M.8 nikaangaika kama mwezi ukitoa hela inarudi tena..... nikahangaika ....nikashauriwa nitumie skrill ikashindikana.....baadaye nikakasirika nikazicheza hovyo zooote zikaisha ....nikaachana na hiyo kampuni na sitaki kuisikia kabisa.....maana ku deposit kwa kutumia master card au visa ni sekunde tuu ila kutoa kwa njia hiyo hiyo haiwezekaniki....NINATAFUTA MUDA NIONANE NA TARIMBA ABASI MAANA NAONA MATANGAZO YA HII KAMPUNI BADO YAPO KWENYE VIWANJA VYETU VYA MICHEZO WAKATI HAWAJAWEZASHA WACHEZAJI MFUMO LAINI WA KUWEKA NA KUTOA FEDHA ZAO...WANAFANYA KAZI GANII....WATU WANAHANGAIKA MARA BITCOIN...MARA LAINI ZA SAFARICOM.... HALAFU WANAKUBALI KAMPUNI KAMA HIYO KUENDELEA KUTANGAZA MATANGAZO NCHINI>>>???
Hiyo biashara ya bitcoin siifahamu ila nilifuatilia sana hawa jamaa wapo rigid sana wala maana wanasema njia uliyoitumia ku deposity kiwango ambacho kilikuja kushinda ni lazima u withdraw kwa njia hiyo hiyo. Hivyo kwa kuwa nilideposity kupitia benki ya nbc njia nyingine ziligoma. Kama nataka kutumia bitcoin inabidi nianze ku deposity kwa kutumia njia hiyo halafu nikishinda nitoe kwa njia hiyo hiyo tena. Nilijaribu hata kuhamisha kwa mtu mwingine ikagoma
Hapo tatizo ni nbc mkuuHiyo biashara ya bitcoin siifahamu ila nilifuatilia sana hawa jamaa wapo rigid sana wala maana wanasema njia uliyoitumia ku deposity kiwango ambacho kilikuja kushinda ni lazima u withdraw kwa njia hiyo hiyo. Hivyo kwa kuwa nilideposity kupitia benki ya nbc njia nyingine ziligoma. Kama nataka kutumia bitcoin inabidi nianze ku deposity kwa kutumia njia hiyo halafu nikishinda nitoe kwa njia hiyo hiyo tena. Nilijaribu hata kuhamisha kwa mtu mwingine ikagoma
Labda ungejaribu kudeposit kiasi kadhaa kwa bitcoin ukacheza japo mechi moja iwin then unawithdr kwa bitcoin ingekubali mkuu, dah ulipoteza pesa nyingi sana hiyo kiongoziHiyo biashara ya bitcoin siifahamu ila nilifuatilia sana hawa jamaa wapo rigid sana wala maana wanasema njia uliyoitumia ku deposity kiwango ambacho kilikuja kushinda ni lazima u withdraw kwa njia hiyo hiyo. Hivyo kwa kuwa nilideposity kupitia benki ya nbc njia nyingine ziligoma. Kama nataka kutumia bitcoin inabidi nianze ku deposity kwa kutumia njia hiyo halafu nikishinda nitoe kwa njia hiyo hiyo tena. Nilijaribu hata kuhamisha kwa mtu mwingine ikagoma
Nikweli nilihangaika sana na nililiweka tatizo langu hapa mezani, baadhi ya wadau walinishauri nitumie skrill, nakajisajili nikakuta mpaka akaunti yake itumike lazima uiverify kwa furushi la document, mara sijui upige selfie umeshikilia kitambulisho ama pasport, mara bank statement, nikajaribu lakini nilifika sehemu nikakata tamaa ni hiyo fedha niliyoishinda nikaichukia nikafanya kama yule jamaa wa kitabu cha " the pearl" aliyekuwa na shida lukuki akabahatika kuvua samaki ndani yake akakuta lulu ya dhamani kubwa basi jamaa aliandamwa na mikosi hadi akairudisha ile lulu kuitupa baharini alikuipatia. Niliamua kucheza milioni milioni kwenye option zisizowezekana hadi zikaisha halafu nika uninstal app ya 1xbet. Bora nicheze hizi zenye ofisi hapa bongo zenye option chache na ngumu potelea mbali ukishinda u na uhakika wa hela yako bila kuhangaikaLabda ungejaribu kudeposit kiasi kadhaa kwa bitcoin ukacheza japo mechi moja iwin then unawithdr kwa bitcoin ingekubali mkuu, dah ulipoteza pesa nyingi sana hiyo kiongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa mm imenigomea wanasema kuna tatizo
Pole mwanangu mtafutaji hachokiNikweli nilihangaika sana na nililiweka tatizo langu hapa mezani, baadhi ya wadau walinishauri nitumie skrill, nakajisajili nikakuta mpaka akaunti yake itumike lazima uiverify kwa furushi la document, mara sijui upige selfie umeshikilia kitambulisho ama pasport, mara bank statement, nikajaribu lakini nilifika sehemu nikakata tamaa ni hiyo fedha niliyoishinda nikaichukia nikafanya kama yule jamaa wa kitabu cha " the pearl" aliyekuwa na shida lukuki akabahatika kuvua samaki ndani yake akakuta lulu ya dhamani kubwa basi jamaa aliandamwa na mikosi hadi akairudisha ile lulu kuitupa baharini alikuipatia. Niliamua kucheza milioni milioni kwenye option zisizowezekana hadi zikaisha halafu nika uninstal app ya 1xbet. Bora nicheze hizi zenye ofisi hapa bongo zenye option chache na ngumu potelea mbali ukishinda u na uhakika wa hela yako bila kuhangaika
Ndani ya dk10 mpaka 15 hivi inabidi iwe imesoma, ila kuna time hata dk 3 tuHivi kuwthdraw mpunga kutoka 1xbet kwa kutumua safaricom inachukua mfa gani wadau? Kwa wale waliokwisha fanikiwa
Daa mm toka jana saa sita usiku hadi sasa holaa. Nimewachek wanasema kuna technica problem had 12 hours zipiteNdani ya dk10 mpaka 15 hivi inabidi iwe imesoma, ila kuna time hata dk 3 tu
Vip kuhusu kuwithdraw? Na kuhusu makato vip kuna unafuu?*MYBUX IMERUDI 100% INAPIGA KAZI*
*************************
*NAMNA YA KUWEKA PESA KWA MYBUX KWENYE ACCOUNT YA 1XBET*
🥏.Nenda Topup kisha chagua *Mybux*
🥏Gusa *link ya mybux* inayoonekana chini kwenye ukurasa wenye kiasi.
🥏Gusa kiboksi kikubwa juu kwenye kisha nenda Buy voucher. Jaza namba yako ya simu email,na kiasi unachotaka kuweka.
🥏Gusa make voucher processing kisha chagua picha kulinga na swali uliloulizwa.
🥏Fuata maelekezo ya kulipia kama yanavyojioneshe kwenye screen yako.
*NB* ingia kwenye laini yako na lipia kiasi ulichokiona au ukichotumiwa kwenye SMS .
🥏Angalia email yako utakuta umetumiwa voucher namba. Andika pembeni kisha nenda tena topup kisha jaza kiasi cha kwanza ulichotaka kuweka (sio ulichotumiwa kwenye SMS),Andika namba yasimu uliotumia kulipia andika namba za vocha kisha confirm.tayari pesa imefika 1xbet.
Jisajili na 1xbet 👇🏼👇🏼Gusa link
https://cut.li/APRpvz
Promo code: *H2N*
AU *1x_21577*
Msaada
*0688327424*
*0658327424*
*0746657001*
*Haji njechele*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabu inaendeleaa...!! achaneni na 1xbet jamani japo ina option nzuri lakini mateso ni mengi sanaaDaa mm toka jana saa sita usiku hadi sasa holaa. Nimewachek wanasema kuna technica problem had 12 hours zipite
Mbona hata kampuni za bongo hizi kero zipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabu inaendeleaa...!! achaneni na 1xbet jamani japo ina option nzuri lakini mateso ni mengi sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app