Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole mwanangu mtafutaji hachoki

*real is not real fake is not fake*
Ulifanya haraka sana ,ungeenda taratibu ungeweza kuitoa ,mbona bitcoin inatoa hela japo lazima ufaidishe na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ni siku ambayo spurs watafungua uwanja wao, kumbuka walikua wafungue jumapili game ya liverpool lakini walihisi ni game ngumu kwao. Kwa vyovyote vile lazima spurs ashinde. Weka mpunga wako wote kwake na usinigaie hata 100. Hapa tunasaidiana tu
 
Hiyo line ukiwa bongo inafanya kazi?

Na kutoa hela unafanyaje au unaituma tena vodacom

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Line inafanya kazi tz nzima. Unatuma pesa kutoka M-Pesa tz unaipeleka M-Pesa Kenya then unaipandisha 1xbet. Rahisi sana. Kuna watu humu nimewauzia line za Safaricom lakini hawataki kuja kuwaambia wenzao jinsi ilivyo rahisi.

Wengine wanalalamika bei ni kubwa Mara Usafiri gharama, laiti mngejua mchakato wa kuitoa Kenya ulivyo mgumu msingeongea maneni ya kejeli.

Betting njema wadau tukutane kwenye play offs za NBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…