1xbet Sports - EA
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 789
- 729
Network imerudi, kwa sasa unadeposit na kuwithdraw, walikuwa wanabadili mfumo. Nenda kabonyeze kitufe cha Top Up kwenye account yako ya 1xbet utaona mabadiliko pale.Yeah nami pia nimedeposit 1xbet toka jana usiku mpaka sasa haijasoma.Nimewacheki wanasema kuna tatizo la ufundi.Natumia line ya safaricom
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatoa kwa njiagani?
Daah yaani niwe na line zingine mbili? Poa itabidi nitafte na simu kabisaLine inafanya kazi tz nzima. Unatuma pesa kutoka M-Pesa tz unaipeleka M-Pesa Kenya then unaipandisha 1xbet. Rahisi sana. Kuna watu humu nimewauzia line za Safaricom lakini hawataki kuja kuwaambia wenzao jinsi ilivyo rahisi.
Wengine wanalalamika bei ni kubwa Mara Usafiri gharama, laiti mngejua mchakato wa kuitoa Kenya ulivyo mgumu msingeongea maneni ya kejeli.
Betting njema wadau tukutane kwenye play offs za NBA.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππ Nimecheka vibaya sana kifua kinauma loh! Yani kama ulikuwa unaishi kwenye akili yanguHuu mchezo wa betting nahisi umeharibu sehemu fulani ya kichwa changu. Leo nimefukuzwa kazi yaani hata sijashituka mpaka mtoa taarifa anashangaa. Nadhani zile LOST za dakika ya 89 zinatuponya magonjwa ya presha kiasi kwamba hata ukilipukiwa na bomu la tani 2 unaweza kupona kabisa.