Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
samahan wakuu hivi parimatch ni ya kitanzania ?na je wanajiungaje?maana kwenye kuchagua currency nmechanganywa kabisa na je kudeposity hela ikoje na kutoa?je wanatumia laini za kibongo au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitaji line ya safaricom, ntaipata vipi? Na gharama ni kiasi gani?Line inafanya kazi tz nzima. Unatuma pesa kutoka M-Pesa tz unaipeleka M-Pesa Kenya then unaipandisha 1xbet. Rahisi sana. Kuna watu humu nimewauzia line za Safaricom lakini hawataki kuja kuwaambia wenzao jinsi ilivyo rahisi.
Wengine wanalalamika bei ni kubwa Mara Usafiri gharama, laiti mngejua mchakato wa kuitoa Kenya ulivyo mgumu msingeongea maneni ya kejeli.
Betting njema wadau tukutane kwenye play offs za NBA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unatoa 31.5 sio 32 na inabaki 103.5 yaan inaongezeka 0.5 na sio drooMbona ukimnyang'anya vikapu 32 inabaki 103 inakuwa droo au inakuwaje hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Upo dar uje WhatsApp +254758515479.Naitaji line ya safaricom, ntaipata vipi? Na gharama ni kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mbinu naipenda sana na inanipaga hela % kubwa
Napataje hii app ya play master mkuuKizuri kula ndugu wazee playmaster wana under ya kadi 6 za njano inatoa hela kinyamaa me kama sio kujichanganya nikampa roma ushindi ningemgonga Mikeka mi 3 lakn nashukuru kwa kidogoView attachment 1062354
Sent using Jamii Forums mobile app