Atalanta ana goli 4 sasaView attachment 1062807
Kuna kila dalili za hawa waitalia kupanga matokeo,,,,,yani goli 3 ndani ya dk9
How neema yaweza kuja??? Explain brotherKAMA UNADAIWA TALA USILIPE SUBIRIA NEEMA YAWEZA KUKUJIA
Kuna nn huko mkuu tupe uahuhuda na sisi tuwaepukeKilichinikuta huko Mostbet, God knows!!! Take care!
Natumia kadi ya UBA au natumia Skrill, kuna jamaa angu huwa ananiwekea pesa kisha naweka kwa account, ila kutoa natumia benki ya UBA
Jamna msaada
Vp mechi ikiwa postponed na timu zote kwenye mkeka zimetiki hapo inakuaje wakuu?
Kuna mechi ya young boys imeahirishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nili-deposit capital tangu 21/03/2019 kukawa na challenge kwa system during that day, baadaye ikabidi nikamilishe transaction kwa kujaza reverence number toka kwa telecom.Kuna nn huko mkuu tupe uahuhuda na sisi tuwaepuke
Mkuu hiyo hela yako wala usiwaze mana itarud kwako. Siyo mara moja nakosea zile ref.namba so itarud ila ujue siyo mapema kama utakavyo....subir had kesho...ikigoma had j3 umepata. +255 621 444 666 namba zao ni hizo na hua naona notifications wakiwa online via wasap...so wew piga kesho hadi wapokee
Mkuu pole ila kuna siku niliandika hapa, mostbet uhuni mwingi sana....kuweka ni sekunde,kutoa baada ya Win, hakuna rang utaacha onaKilichinikuta huko Mostbet, God knows!!! Take care!
Daa kweli hiyo ni changamotoNili-deposit capital tangu 21/03/2019 kukawa na challenge kwa system during that day, baadaye ikabidi nikamilishe transaction kwa kujaza reverence number toka kwa telecom.
In 29/03 that transaction approved by telecom to Mostbet.
Sasa tangu deposit mpaka kesho Mostbet balance is 0.00.
Hao Mostbet wanataka niwatumie kwa mail telecom (M-Pesa) account statement inayoonyesha kuwa nililipa.
Ili kupata account statement natakiwa kuripoti Vodacom branch, na fee ya Tsh. 7,000; na ID.
I'm very disappointed in deed!