Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
WANAPELEKWA MAHAKAMANI KULIPA BIL 5...NAHISI WATAKIMBIAHow neema yaweza kuja??? Explain brother
WANAPELEKWA MAHAKAMANI KULIPA BIL 5...NAHISI WATAKIMBIAHow neema yaweza kuja??? Explain brother
Jamna msaada
Vp mechi ikiwa postponed na timu zote kwenye mkeka zimetiki hapo inakuaje wakuu?
Kuna mechi ya young boys imeahirishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwangu deposit imekuwa hivyo. I lost hope of getting my money back hata kwa betting.Mkuu pole ila kuna siku niliandika hapa, mostbet uhuni mwingi sana....kuweka ni sekunde,kutoa baada ya Win, hakuna rang utaacha ona
Si mbaya kwa aliyechukua baadhi, kwa aliyeufata km ulivyo tumekosa moja, lkn MAPAMBANO YANAENDELEACHUKUA BAADHI ZINAZOKUFAAView attachment 1062479View attachment 1062482
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeeleza kwa lugha rahisi ya kiswahili umechanganya na kiingrexa balaaKwa wale mliopata taarifa za kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa Vodacom na TALA.
Kwa kifupi kampuni ya TALA ilikuwa INA route na kuterminate international calls through their ILEGAL SIM BOX ambayo ilikuwa inatumia VODACOM SIM Card.
In a layman language kwa ambao fani yao siyo Telecomunication, Simu za nje zikiwa terminated na SIMBOX unayepokea unaona kama umepigiwa na mtu wa tz (Local number as a caller).
Kwa issue hii, VODACOM hawahusiki, ni hiyo kampuni ya TALA ndo owner wa hiyo SIMBOX. Kosa la VODACOM ni kukosa Controls za kudetect hizi calls once mtu anatumia SIMBOX. Pia kudetect huwa ni changamoto kwani ukishtukia pattern wao hubadilisha SIM card, you need to work on daily basis.
Jambo la kujifunza, unapokuwa kiongozi ktk hizi taasisi kubwa unapaswa kufuatilia issue kwa undani sana na si kutoa majibu mepesi, vinginevyo utaishi jela
[emoji6][emoji6] kweli mkuu hicho kiingereza hapo huelewUngeeleza kwa lugha rahisi ya kiswahili umechanganya na kiingrexa balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba ya kulalia
BOOOOOOOOOOOOOOOMKAMA ULICHEZA KALEAASUPUView attachment 1062856
Parimatch sio ya Uganda mkuu, Parimatch wanatoka Eastern Europe ndio headquarters, huko Uganda ni tawi tu kama ilivyo Tanzania. Asante.Moja kabisa parimatch ni Ya Uganda ila wana tawi lao hapa Tanzania na wanatumia tigo na Voda pekee kwenye kudeposit na kuwithdraw! Na ni fasta saana ndani ya dakika 1 mpunga wako unaingia halafu kuhusu currency nadhani itakuwa umetumia website ya uganda hakikisha website inaishia na .co.tz yaani parimatch.co.tz ukitumia nyingine lazima ikuletee currency ya uganda
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante mkuu kumbe hata sikukosea ni kwamba hela alikua haijafika kwenye account kwa siku 3 Leo hasbuhi nmeikuta nmejaribu kuichomoa wamegomaMkuu hiyo hela yako wala usiwaze mana itarud kwako. Siyo mara moja nakosea zile ref.namba so itarud ila ujue siyo mapema kama utakavyo....subir had kesho...ikigoma had j3 umepata. +255 621 444 666 namba zao ni hizo na hua naona notifications wakiwa online via wasap...so wew piga kesho hadi wapokee
Wamejifanya wahuni wamekutana na muhuni zaid ,nimesubir mechi ya live dk 90 nikaweka under nishatoa mzigo wangu wapuuzi hela nimekopa TALa inatakiwa kuzunguka irudishe faidaAsante mkuu kumbe hata sikukosea ni kwamba hela alikua haijafika kwenye account kwa siku 3 Leo hasbuhi nmeikuta nmejaribu kuichomoa wamegoma
Sent using Jamii Forums mobile app