Gini
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 399
- 386
Uchaguzi wako ni mzuri ila ungeweka timu tatu tu ungepata odds 3 kuliko timu kibao kama hizo zenye za double chance.Mi leo nimeamua kutoka hivi. View attachment 1062964View attachment 1062965
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajax anacheza kesho sio leo.Uchaguzi wako ni mzuri ila ungeweka timu tatu tu ungepata odds 3 kuliko timu kibao kama hizo zenye za double chance.
Siri ya kuwin betting sio kuweka timu nyingi zenye odds chache hapana!! siri ya betting iko kwenye idadi ya game unazoweka ukiweka double chance saba za uhakika zenye odds 3 ni rahisi kuchana mkeka kuliko kuweka win 3 za uhakika. Timu zinavyozidi kuwa nyingi ndio hatari ya kuchana mkeka inavyoongezeka na hata odds ya 1.01 inaweza chana mkeka. Ndio maana betpawa wanatukamata kwa trap ya kuongeza bonuses kutokana na namna tunavyozidi kuongeza timu kwenye mkeka. Huo ndio mtego wao mkubwa.
Ningekuwa mimi leo ningeweka game tatu za direct win Liverpool, Ajax, Porto aidha na Bucharest. Baaasi! Natupia stake yangu nzuri Nasubiri mirindimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni gani hii ya betting?View attachment 1062969View attachment 1062970
Jana nimetengeneza huu mkeka kimasihara tu naamka nakutana na hela ya supu!
Liverpool anacheza leo hlf unataka kuichomoa tena....iache tuuAsante mkuu kumbe hata sikukosea ni kwamba hela alikua haijafika kwenye account kwa siku 3 Leo hasbuhi nmeikuta nmejaribu kuichomoa wamegoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni haki yako upunwe kila siku.....na unatakiwa upunwe haswa mpk upate akili kias fuln mana kila siku tunaelimishana lakin bado unajipa unazi!! Endelea
Mzee uko poa sana,yani unajitahidi sana kuhit zoto hizo harafu ni direct win,!jitaidi uwe unatenga kwa magroup ya timu nne nne ,nazani utakuwa unazipiga sanaMikeka yangu cjui huwa nakosea wapi?View attachment 1062995View attachment 1062996
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu nakuwa nahit mpaka 13, ahsante kwa ushauriMzee uko poa sana,yani unajitahidi sana kuhit zoto hizo harafu ni direct win,!jitaidi uwe unatenga kwa magroup ya timu nne nne ,nazani utakuwa unazipiga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vizuri sana mzee,mi nashsuri uwe unatenga timu kama nne hadi tano unaweka mzigo,unatenga tena nne hadi tano,utapiga hadi utashangaa,huyo dynamo na mwenzake washenz kweli wamekukosesha aisee,bom kali sana hilo lingelipuka ungesahau betting kwa mda,
Mkuu kosa Lako Kubwa ni matreni. Anza kuweka madau makubwa utakuwa unaogopa matreni. Jifunze kuweka timu chini ya tano.Mikeka yangu cjui huwa nakosea wapi?View attachment 1062995View attachment 1062996
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona matimu unayoweka yanakuwa na odds nyingi hivyo basi bora ukayagawa mkuu...Dah ila hongera maana unajilipuaga si mchezo...Odds 2 kupanda juu na bado unaweka kokoro!Mikeka yangu cjui huwa nakosea wapi?View attachment 1062995View attachment 1062996
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenistua kweli mkuu na nilikuwa najiandaa na game za Australia za saa tano. Naona wamerejea.Betpawa kulikoni?View attachment 1063045
Punguza timu, timu 3 au 2,Mikeka yangu cjui huwa nakosea wapi?View attachment 1062995View attachment 1062996
Sent using Jamii Forums mobile app