Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,718
- 1,660
kuweka hela huko si ndo mziki kila siku nasikia watu wakilalamika?
Wamekubania nn? Unatumia njia ganWasumbufu, rahisi kuweka hela ila kutoa sasa 🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ataua watu wengi sana.1x bet ni kama demu mweupe mwenye tako Kubwa Halafu ana ukimwi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tupia za Leo babaPESA ILIKUWAHAPA JANA KAMA ULIIFWATAView attachment 1063104View attachment 1063105
Sema nao mkuuHivi hawa premierbet inakuaje pesa niliyoshinda kwa mikeka yangu mwenyewe wanaiita bonus na siwezi kui withdraw?
Kaka mimi natoa kupitia bank ya UBA bila shida kabisa, usiogopekuweka hela huko si ndo mziki kila siku nasikia watu wakilalamika?
Kutoa ndo waliponikimbiza, mpaka kwenye duka zao, sasa kama nipo Mkoani inakuwaje?Gal Sport Betting