Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

odds 5 mechi zina anza saa8
Screenshot_2019-04-06-01-37-35.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me mwenzio nimebadilika saiz faida ya kubeti naona punguza timu mkuu tafta point 10 weka ten hukosi laki kila baada ya siku mbili me nimebet miaka mi3 kila siku nakosa timu moja Mara ya mwisho nilikula laki 6 niliweka hero iyo ni mwezi Wa 9 mwaka Jana
Haukosei popote Mkuu ni bahati mbaya tu Endelea kujaribu ipo siku utamkamata na ukimkamata atalipa zote ulizoliwa [emoji41][emoji41][emoji485][emoji485][emoji485]


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah, betpawa hajaweka handcap mechi ya mazembe. Nilitaka nimtangulize simba na goli alafu mazembe ashinde. Najua itakua na Odds kishungi.
 
Back
Top Bottom