MWAMBA jnr
Member
- Apr 17, 2011
- 85
- 69
hata mwenyew una weza kuzipata tips zake
Imegoma kufungukahata mwenyew una weza kuzipata tips zake
search google rayz sure bets utapata zile tips
Sent using Jamii Forums mobile app
fanya kuchagua best choices usi chukue mechi zote make a review,analyse and choose the most suitable ones
Parimatch bonus zao lazima ubet game kuanzia saba na odds zianzie 1.8 kwenda juuWakuu nimeona parimatch wana bonus kwamba ukibet 10000 unapewa 20000 ya kubet je nikiweka 10000 nikabet match moja tu nitapata iyo bonus na je iyo bonus naitumia kubet match kuanzia ngapi nauliza sababu situmiagi parimatch
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi wako ulikuwa mzuri sana.. thank you!Leo mechi zetu za hela ni hizi hapa;
Southampton vs Liverpool.. Liverpool win.
Ajax win
Porto win.
Bucharest win
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee mbona Kama hyo odd n ya bure na rahisi kabsaa?View attachment 1063851
Sent using Jamii Forums mobile app
Schalke 04 anafight asiingie kwenye relegation zone hvyo ndo maana Odds zimekuwa mlima, uwezekano wa kufungwa upo sema kwa uhakika zaidi bora Double Chance kuliko direct win!
Leo mkuu nataka nitembelee nyota yako, plz post mikeka yako mapema
Sent using Jamii Forums mobile app