The same to me mkuuBado spoting Cp amalizie dakika nika withdraw View attachment 1065448
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natumia hii kadi UBA na iko poa, sema unapoweka pesa 1xbet wanakata shs 7,000. Yaani kila muamala unaofanya kuanzia 1000 - Milioni kadhaa. Kutoa unatoa poa tu haina shida. View attachment 1065443
Sent using Jamii Forums mobile app
haya ma Napol yasipotoa 3+ leo naacha kiya betia maana team pinzan iko pungufu na mkeka ulio bak ni wao tu kutoa hii over
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wapo vizur....huyo wa football anapata sana ndan ya muda mfupi,pia mtaji wake upo vizurSijui tunakwama wapi asee
Angalizo sio mikeka yangu msije nifata pm nimikeka za mtaalamu wa basket mwingine football
Hiv mm wa mkoan huku naweza tumia? Au ni limited kwa dar tu?Mimi natumia hii kadi UBA na iko poa, sema unapoweka pesa 1xbet wanakata shs 7,000. Yaani kila muamala unaofanya kuanzia 1000 - Milioni kadhaa. Kutoa unatoa poa tu haina shida. View attachment 1065443
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera...naona umebembeleza odds haswaThe same to me mkuuView attachment 1065449View attachment 1065450
Sent using Jamii Forums mobile app
didy hii droo wenye macho ya paka tuli ielewa sanaaaaa big up Man
Ukiwa Dar unaipata kwenye hiyo bank ya UBA waambie unataka kadi ya kufanya manunuzi online. Ni shs elfu 10 tu. Haihitaji ufungue account
umes soma vzuri uka ni elewa we jamaa?
Hii wiki hii nimechakatwa saana na Mhindi. Leo nampa Chelsea then nampa na dogo mmoja anaitwa HSV.Wakuu wengi tumemaliza wiki hii kwa msiba wa mikeka kuchanika japo nimeshafunga matanga. Ligi nyigi zinaelekea ukingoni, dk za mwisho hizi tugawe umasikini tupeane madini ya kuwin Halftime/Fulltime (Ngumu Kumeza).
Hiyo stake sithutu kuweka. Kwa hali ilivyo mbaya nikipigwa naweza kulazwa.[emoji1][emoji1][emoji16]...Hii wiki hii nimechakatwa saana na Mhindi. Leo nampa Chelsea then nampa na dogo mmoja anaitwa HSV.
Mechi mbili, odds mbili sure bet natupia kilo nimtandike kilo 2. Amen!
Sent using Jamii Forums mobile app
OK sasa ukitaka kuweka au kutoa hela 1xbet unafanyajeUkiwa Dar unaipata kwenye hiyo bank ya UBA waambie unataka kadi ya kufanya manunuzi online. Ni shs elfu 10 tu. Haihitaji ufungue account
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu,naogopa direct wins,simwamini mtu ,hata Barcelona ikicheza na ndanda naweka double changeMkuu hongera...naona umebembeleza odds haswa