Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

#Wakuu naombeni utabiri wenu ktk hizi mechi za champion league#

1-Ajax vs juventus turin
2-Liverpool vs fc porto
3- tott spurs vs man city
4-- man utd vs barcelona

Nataka kutia mzigo sasa hivi wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
ntaweka hivi liver win man city win Barca 2x juve sijajua kama cr7 atacheza kama atacheza juve 2x hao madogo wa Ajax wanakaza sana remember bayern

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesterday
Screenshot_20190408-010121.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee nisaidieni nmedeposit betpowa tsh 5260 sijabeti lakn balance yangu n 260 na Sina mkeka nilioweka ndo nlikuwa nataka kuweka wananiambia pesa yangu haitoshi
Screenshot_20190408-155149.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechanganyikiwa kwa kweli leo sina la kusema.......hii kitu sio bure!!!!!!, kanji au mzungu wana namna wanatufanzia!!....
day day 1.jpg
mahesabu yote yameharibika! leo!
 
Hizo ndio fixed? yaani wewe binafsi hujawahi kutandika vitimu vitano tuu? mbona ni mkeka wa kawaida sana huo mtu kabashiri ukatokea kama unavyobashiri wewe? usije ukaingia kichwa kichwa ukawatumia fedha ukadhani na kesho itatiki!!! utaliwa. Angenishawisha kuwa ni fixed kama zote mechi 5 angetoa correct score na zikakubali lakini sii kwa option mchanganyiko kama hizo.
mkeka wa kuforwadiwa wa group la fixed na sijawahi kuwatumia hela hata siku moja
 
Back
Top Bottom