Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MAIN VIP TICKET

Greece
Atromitos FC vs Apollon Smyrnis
Tip [email protected]

Belgium
Brugge vs Standard Liege
Tip [email protected]

Germany
Hamburger SV vs Magdeburg
Tip [email protected]

Italy
Bologna vs Chievo
Tip [email protected]
_____________

BONUS

Norway
Rosenborg – Odd
Tip 1@ 1.68

Spain
Cadiz – Zaragoza
Tip 1 @ 1.88

Italy
Palermo-Verona
Tip First Half Draw @ 2.15
____________

BONUS

Germany
Sonnenhof Grossaspach vs 1860 Munich
Tip 2 @ 2.30

Russia
Gazovik Orenburg vs Akhmat Grozny
Tip BTTS (YES) @ 2.35
============

Germany
Hamburger SV vs Magdeburg
Tip X/[email protected]

Germany
Sonnenhof Grossaspach vs 1860 Munich
Tip X/[email protected]
PLAY SINGLE
liwalo na liwe ili bomu nalipuka nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaweza kufafanuwa hapo ulipata from experience? Sijakuelewa mkuu

.
Kuna mzungu aliwahi nipa game fixed ambayo ilikua ina odd kumi niliweka 20000/= ....
From there up to now sijapata tena mana alitaka pesa ndefu sana kama 300€ hivi aisee nilipochelewa kulipa alini block akapotea kuogopa spoil information mana huwa wanafanya kwa usiri mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo mkuu....
Niliwahi pata from experience

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hujawahi kutumia kichwa chako ukatengenezamkeka ukatiki? je ! kama ndio ungemtumia mtu kabla halafu ukamdanganya ni fixed halafu ukaja ukatik si angeamini? wanachokifany hao watu wanachambua kama wewe tu na inaweza kutokea wakabahatisha lakini sii kweli kwamba ni fixed
 
Fixed ya goli mkuu...
Sio zile yanga ashinde au simba nadhani utakuwa umenielewa

Yaani mfano 2-1 correct score

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzungu aliwahi nipa game fixed ambayo ilikua ina odd kumi niliweka 20000/= ....
From there up to now sijapata tena mana alitaka pesa ndefu sana kama 300€ hivi aisee nilipochelewa kulipa alini block akapotea kuogopa spoil information mana huwa wanafanya kwa usiri mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
fixed hahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fixed ya goli mkuu...
Sio zile yanga ashinde au simba nadhani utakuwa umenielewa

Yaani mfano 2-1 correct score

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nataka niwaambie sisi tunaobet Mia tano,buku sjui elfu kumi n tunatafuta chai Sasa kuna matajiri wanatafuta maisha game inanunuliwa kwa gharama yeyote na ndo inaitwa fixed yaani kamari haswa. Kulia kwetu kila sku Mara mkeka wa 1.1 umechanika syo kweli umechanika hyo game imeuzwa mkuu .

Mara nyingi huwa zinauzwa mkuu fanya research

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu huu mkeka ni Mara ya pili Sasa naurudia nahisi Kuna kla dalili ya kutoka gree . Finland saa kumi na mbili na nusu. Please tuijarbu
Screenshot_20190408-181226.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo kabsaa mkuu game inaisha 1-0 au 0-0 au 2-1 wenye makampuni ya kubet syo wajinga watu wanabet wengi kiasi hicho dunia nzima lakn hawafilisiki wao ndo wanapata faida kulko sisi . Pesa tunayokula sisi Ni za kwetu wenyewe za kwao na mtaji wao hauguswi hata sku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Muelimishe huyoo...
Mwenzako anabisha kuwa hamna fixed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nataka niwaambie sisi tunaobet Mia tano,buku sjui elfu kumi n tunatafuta chai Sasa kuna matajiri wanatafuta maisha game inanunuliwa kwa gharama yeyote na ndo inaitwa fixed yaani kamari haswa. Kulia kwetu kila sku Mara mkeka wa 1.1 umechanika syo kweli umechanika hyo game imeuzwa mkuu .

Sent using Jamii Forums mobile app
we uje ujidanganye kuna fixed match utaliwa hadi.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mzungu aliwahi nipa game fixed ambayo ilikua ina odd kumi niliweka 20000/= ....
From there up to now sijapata tena mana alitaka pesa ndefu sana kama 300€ hivi aisee nilipochelewa kulipa alini block akapotea kuogopa spoil information mana huwa wanafanya kwa usiri mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaeleweka, alikupa game kumi tena akahitaji 300€ kwamba ulipata service kabla ya kumlipa, kama ulipata service kisha akakublock una proof gani kwamba hizo game 10 zote zilienda sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Nina uhakika saana na hizi game mbili zenye odds mbili.

Chelsea vs West Ham..
Chelsea win.

Germany
Hamburger SV vs Magdeburg
Tip [email protected]

Hii ni hela kabisa. Na hata mechi ya Bologna iko wazi coz chievo washashuka daraja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom