Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ipo Tena Sana Kuna kwenye betting tumechanganyika watu Aina tatu matajiri,maisha ya Kati,na maskini Sasa matajiri ndo wanaamua mechi flani iweje na ipi ishinde kumbuka mpira n biashara Kama biashara zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haya mambo yalikuaga miaka ilee hadi akina Juve wakashushwa daraja na kupokwa mapoint na kulipa fani ya mamilion ya euro
Dunia imebadilika sana huo upuuzi huwezi fanya dunia ya leo
Bookies sio wajinga kama tunavyo wadhania wana mfumo wao wa kutambua iwapo kuna namna yoyote ya upangaji matokeo

Ndio maana wameset limit ya stake na kiasi unacho weza kushinda
Iwapo utanunua game ya liverpool vs west ham ina maana utanunua game kwa mabilioni ya pesa ambayo itabidi wastake watu wengi sana kuyarudisha yalete na faida
Hapa sasa ndio mifumo ya bookies inapo detect unusual betting kwa game fulani
Bookies wote wanamfumo mmoja wa taarifa kuanzia kupanga odd nk
Trust me bookies wana mfumo mmoja thabiti na tracking zinaanza kuanzia ip adress, imei no, locations, acc nk
Soon kila kitu kinajulikana
Baada ya hapo taarifa zinapelekwa FIFA na adhabu itakayo pata hiyo timu hakuna timu inaweza fanya huo ujinga
FIFA na bookies wanafanya kazi kwa karibu mmno sababu betting ilipoanza iliharibu mpira kabisa hasa huko america ya kusini na asia
Ikataka kufutwa isiwepo lakini ikawa inafanyika kisiri ndio ukaja mpango wa kubaini upangaji matokeo

Si tujidanganye tu fixed zipo sababu kuna mtu kapredict correct score ikatoa
Lakini kununua game ukategemea utarudisha hela yako kwa stake utabainika tu na hakuna team ipo tayari kuface balaa litakaloitokea baada ya kubainika
 
#Inplay
1st half goal #Turkey Lg1View attachment 1066184

Sent using Jamii Forums mobile app
Ov0.5 [emoji736]ov1[emoji736]@5
20190408_194623.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa betpawa wame anza kuleta mizengwe nime deposit pesa ime ingia pungufu wana sema tatzo la kimtandao
nasema hiiiiiii pesa yangu haipotei kizembe ntarara nao mbereeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom