Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yachai kesho
Screenshot_20190408-182815.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo Tena Sana Kuna kwenye betting tumechanganyika watu Aina tatu matajiri,maisha ya Kati,na maskini Sasa matajiri ndo wanaamua mechi flani iweje na ipi ishinde kumbuka mpira n biashara Kama biashara zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mechi ya Man U na Barca mshindi keshapangwa?..

Endeleeni kuliwa vichwa mpaka akili ziwakae sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom