Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Kwa ninavyojua mimi hii michezo ya Kufix mechi siku hizi haitokei kwenye level za juu kwa sababu hela kwenye mpira wa level ya juu zimekuwa nyingi sana kiasi kwamba haileti faida hata ukitaka kuinunua coz wachezaji wenyew wanalipwa hela ndefu sana ss ww utawalipa bei gani na utabet kwa stake gani urudishe hyo hela? na hata FIFA wamekuwa makini sana kwenye ku monitor hyo michezo kama alivyosema Mkuu Mayu adhabu huwa ni kali sana kama kilichowatokea Juve mpka wakashushwa dalaja,Match fixing hutokea lakin sema ni kwa level ya chini mfano ligi za chini sana au Mechi za Watoto kama Under 21 etc na hyo ni kwenye nchi ambazo ufatiliaji wake ni mdogo na ofcoz hyo michezo inachezwa kwa umakini na usiri mkubwa kiasi kwamba watu wachache sana wanakuwa wanahusika au kujua!