Ahaha!! SawaswaNdio mkuu,naogopa direct wins,simwamini mtu ,hata Barcelona ikicheza na ndanda naweka double change
Sent using Jamii Forums mobile app
ntaweka hivi liver win man city win Barca 2x juve sijajua kama cr7 atacheza kama atacheza juve 2x hao madogo wa Ajax wanakaza sana remember bayern#Wakuu naombeni utabiri wenu ktk hizi mechi za champion league#
1-Ajax vs juventus turin
2-Liverpool vs fc porto
3- tott spurs vs man city
4-- man utd vs barcelona
Nataka kutia mzigo sasa hivi wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mkongwe we acha tu..Ngoja nipumzike kwanza nitafute mbinu mbadalaPSV, Arsenal wamechukua pesa nzuri sana kwangu dah
Kweli mkuu... Yamenitokea jana haya ya kutaka kurudisha vipigo, nimeburuzwa na mhindi mpaka kichwa kimekaa sawa πππ
Halafu hivyo vi odds vidogo ndio vinatuangusha sana.Kweli mkuu... Yamenitokea jana haya ya kutaka kurudisha vipigo, nimeburuzwa na mhindi mpaka kichwa kimekaa sawa [emoji1][emoji1][emoji1]
mkeka wa kuforwadiwa wa group la fixed na sijawahi kuwatumia hela hata siku mojaHizo ndio fixed? yaani wewe binafsi hujawahi kutandika vitimu vitano tuu? mbona ni mkeka wa kawaida sana huo mtu kabashiri ukatokea kama unavyobashiri wewe? usije ukaingia kichwa kichwa ukawatumia fedha ukadhani na kesho itatiki!!! utaliwa. Angenishawisha kuwa ni fixed kama zote mechi 5 angetoa correct score na zikakubali lakini sii kwa option mchanganyiko kama hizo.