Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bookmakers mkuu hasa ndio wanaofix.

We fikiria ni wangapi waliiamini psg na wakatia mzigo.

Harafu fixing unaweza usiione moja kwa moja ila huanzia kwa kocha, anaweka mipango ambayo anajua fika hapa hatuto toboa.

Mti wenye matunda.
Hizi hadithi mnadanganywa na wauza odd na mnaziamini mazima

Kwa psg ku draw au kufungwa kuna maajabu gani haswa mkuu

Tatizo vichwani mwetu tuna timu tunaamini zinatakiwa kushinda tu, ikiwa vinginevyo fixed
 
Aisee ngoja niihame betpawa rasmi
Mimi sitaweka hela nyingine, nitakuwa nachungulia balance statement kuona kama badosystem haijatulia au la. Nitatumia agent wengine ila sitahama moja kwa moja maana wana mazuri yao
 
Hao nawahama sababu ya live na pia mechi wanachagua wqnazotaka wao
Mfano Mimi huwa nacheza basket tu ila wananichagulia mechi
Mimi sitaweka hela nyingine, nitakuwa nachungulia balance statement kuona kama badosystem haijatulia au la. Nitatumia agent wengine ila sitahama moja kwa moja maana wana mazuri yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…