Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamaa wa betpawa wanachukua muda gani kuachia mapene jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Game moja imeahirishwa sasa inakuaje wajuvi mnijuze tafadhali
Screenshot_20190412-010825.jpeg
Screenshot_20190412-010814.jpeg
Screenshot_20190412-010809.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1069141

1069142
1555040119036.png
1555040152167.png
yani Hii team imenichania mkeka wangu nilikuwa nishahesabu beer kudadeki hii week nimeliwa ela mpaka nimeanza bet mikeka ya jero na buku bado inachanika hii ni basket sasa ona na huu wa jero wa football nao tema moja ikauchana
1069145

1069146
na jana nikafanya ufala nikaweka team 21 kwa jero team mbili zikaniangusha
1069147
1069148
1069149

bora nirudi zangu kubet ela kubwa kuweka ela ndogo na team nyingi naona hakuna manufaa
1555040516893.png
1555040501986.png
1555040409216.png
1555040376315.png
1555040152167.png
 
View attachment 1069141
View attachment 1069142View attachment 1069141View attachment 1069142yani Hii team imenichania mkeka wangu nilikuwa nishahesabu beer kudadeki hii week nimeliwa ela mpaka nimeanza bet mikeka ya jero na buku bado inachanika hii ni basket sasa ona na huu wa jero wa football nao tema moja ikauchana
View attachment 1069145
View attachment 1069146na jana nikafanya ufala nikaweka team 21 kwa jero team mbili zikaniangusha
View attachment 1069147View attachment 1069148View attachment 1069149
bora nirudi zangu kubet ela kubwa kuweka ela ndogo na team nyingi naona hakuna manufaaView attachment 1069149View attachment 1069148View attachment 1069146View attachment 1069145View attachment 1069142
Mkuu uko vizuri kwenye predictions
Naona kama ungepunguza game kwa mkeka ukatafuta odd kuanzia 2 hadi 10+
Odd kuanzia 10+ kwa game nyingi ni ngumu kweli na hasa kwa options za Dc,1x2 na O/U
Utakuta game moja tu inatibua kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uko vizuri kwenye predictions
Naona kama ungepunguza game kwa mkeka ukatafuta odd kuanzia 2 hadi 10+
Odd kuanzia 10+ kwa game nyingi ni ngumu kweli na hasa kwa options za Dc,1x2 na O/U
Utakuta game moja tu inatibua kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uwa sina tabia ya kuweka timu nyingi hasa nkitupia kuanzia buku 30, ila nimeliwa sana week hii kiasi kwamba nimeamua nibet ela ndogo ndo maana natupia team nyingi. Ila hiyo basket nilikuwa na uhakika nayo yani sikutegemea kama hiyo team itapigwa na unaona imeshindwa kwa tofauti ya point moja yani ni 86 kwa 87 kweli kubet kubet tu
 
Back
Top Bottom