Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu akishinda mnijulishe, nazima sim!
IMG_20190412_132938.png
 
uyo kabet wakat wa nyumban akiwa ana ongoza gaol 1 akijua away ata pindua matokeo badala yake away kaongezwa la pili apo angekua kacheza magoal over presha isinge kuepo kabisa anyway wacha aamke tumu andalie dripu za kutosha ndg yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway
Bet is a risk game

Wishing him/her the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Escaper, ligi ya Australia ina timu nzuri tu za uhakika na unaweza kuweka direct win ukapasua, mimi mzigo wangu naweka kesho timu za uhakika zitakuwa zinakipiga.
 
Back
Top Bottom