Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Hatari.
Huwa haichukui muda mrefu labda wakizidiwa vipigo, vipi umejaribu kutoa haijatoka?
Game gani imeahirishwa???Game moja imeahirishwa sasa inakuaje wajuvi mnijuze tafadhaliView attachment 1069106View attachment 1069107View attachment 1069108
Sent using Jamii Forums mobile app
Valencia 😊Hii pesa imeniuma sna ase[emoji58][emoji58][emoji58]View attachment 1069047
Sent using Jamii Forums mobile app
BET WON
HT BENFICA WIN BOOOOOM
NEXTY (1/1) MAXB
Pale unapo amka asubuhi nakukuta mgodi umetemaLeo nimemuamini Arsenal mazimaaa
Potelea mbali anivuruge kama jana JuveView attachment 1068348
Sent using Jamii Forums mobile app
ImoooFor only risk taker
Stake what u can afford to View attachment 1068350View attachment 1068352View attachment 1068354
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hela imeniuma aise...Hii inaitwa no Pain no Gain.. Dadeki mzigo huo! Ukitoa nalala kabisaView attachment 1069048
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko vizuri kwenye predictionsView attachment 1069141
View attachment 1069142View attachment 1069141View attachment 1069142yani Hii team imenichania mkeka wangu nilikuwa nishahesabu beer kudadeki hii week nimeliwa ela mpaka nimeanza bet mikeka ya jero na buku bado inachanika hii ni basket sasa ona na huu wa jero wa football nao tema moja ikauchana
View attachment 1069145
View attachment 1069146na jana nikafanya ufala nikaweka team 21 kwa jero team mbili zikaniangusha
View attachment 1069147View attachment 1069148View attachment 1069149
bora nirudi zangu kubet ela kubwa kuweka ela ndogo na team nyingi naona hakuna manufaaView attachment 1069149View attachment 1069148View attachment 1069146View attachment 1069145View attachment 1069142
Mkuu uwa sina tabia ya kuweka timu nyingi hasa nkitupia kuanzia buku 30, ila nimeliwa sana week hii kiasi kwamba nimeamua nibet ela ndogo ndo maana natupia team nyingi. Ila hiyo basket nilikuwa na uhakika nayo yani sikutegemea kama hiyo team itapigwa na unaona imeshindwa kwa tofauti ya point moja yani ni 86 kwa 87 kweli kubet kubet tuMkuu uko vizuri kwenye predictions
Naona kama ungepunguza game kwa mkeka ukatafuta odd kuanzia 2 hadi 10+
Odd kuanzia 10+ kwa game nyingi ni ngumu kweli na hasa kwa options za Dc,1x2 na O/U
Utakuta game moja tu inatibua kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
ntaanza kutembelea nyota yako mkuuMkuu uko vizuri kwenye predictions
Naona kama ungepunguza game kwa mkeka ukatafuta odd kuanzia 2 hadi 10+
Odd kuanzia 10+ kwa game nyingi ni ngumu kweli na hasa kwa options za Dc,1x2 na O/U
Utakuta game moja tu inatibua kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app