Potential winning kwanini isiwe Tsh 8, 850,000?!!!!
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Sawa mkuu utashare nasi.Escaper, ligi ya Australia ina timu nzuri tu za uhakika na unaweza kuweka direct win ukapasua, mimi mzigo wangu naweka kesho timu za uhakika zitakuwa zinakipiga.
Mkuu goodluck ila ukila hii usirudie kuweka stake kama hyo tenawakuu akishinda mnijulishe, nazima sim! View attachment 1069432
Mzebaba tunakuonea huruma isikute balnce yako ni m100 na hizo ndio stake zako za kawaidawakuu akishinda mnijulishe, nazima sim! View attachment 1069432
Odd 1.77 times 5, 000, 000 = ??mzee izo odds si hua zina kua katka decimals wengne wana weka w decimals place wengine 3 decimal places i.e 1.77, 1.776, 1.7766 etc etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu game Imeisha 2 - 1Mzebaba tunakuonea huruma isikute balnce yako ni m100 na hizo ndio stake zako za kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu game Imeisha 2 - 1
Duu hatari sana kama ulicheza live kwa nn usingempa wa nyumbani maana alikua na odds 2 wakati anaongoza goli mojawakuu akishinda mnijulishe, nazima sim! View attachment 1069432
Pole zake huko aliko! Labda ni 'doni' sana. Anyway! Loss inauma.Kama kweli aliweka basi kachoma mtaji wa 'Kagomba' ndani ya 90 Mins. [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
This is editing bhanawakuu akishinda mnijulishe, nazima sim! View attachment 1069432
I wish ingekua hivyo maana dah hata Kama ni kujilipua sio hivi aisee
duh hata Root sijawaimwona aki stake hii amountwakuu akishinda mnijulishe, nazima sim! View attachment 1069432
wakuu akishinda mnijulishe, nazima sim! View attachment 1069432
issac77 we jamaa ule mkeka uliweka seriously au?
Ila jamaa Issac77, umenitamanisha jinsi unavyoweka kibunda cha maana...sijui nitapata lini mtaji kama huo.