Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,568
- 17,992
System hii chief?
System hii chief?
Hapana kawaidaSystem hii chief?
Mkongwe ilo sio la kuuliza, Simba atakufa sio chini ya goli 3Ebwn eeh Mazembe apate magoli 2 tu kapewa 1.65
Ushauri hapa nijilipue
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nataka nijilipue hapa 500k do or dieMkongwe ilo sio la kuuliza, Simba atakufa sio chini ya goli 3
Wanyama tutafanya maajabu ndani Lubumbashi
Pia nitapata furaha mara mbili! Akifungwa nitapata pesa na akipata ushindi pia itakuwa ni furaha na nitasahau machungu...Wanyama tutafanya maajabu ndani Lubumbashi
Si umemsikia msemaji wetu [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ngoja tusibirie...wale jamaa uku walikuja kutafuta sare tu. Kule kwao watawafungikia utashangaaWanyama tutafanya maajabu ndani Lubumbashi
Si umemsikia msemaji wetu [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app