Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Boom
Screenshot_20190412-180207.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hizi odds za Juventus kesho mbona kama vile ni mtego

Juve nao ni kama Barca wanaweza pumzisha watu wakifikiria zaidi Champions League na Ajax, maana Mpka sahv nikama wameshashinda ubigwa Serie A wanaongoza kwa Point 20
 
Back
Top Bottom