Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Mmmh kunakitu hakipo sawa kweli mkuu
Kama ni 1xbet baada ya kuplace bet inakua inaandika "accepted" na sio "waiting"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo uhakika mkuu
Hakuna biashara inayolipa kama kubet kwa mtaji laki moja waweza pata elfu50 mpaka laki2 kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
KIVIPI?Hakuna biashara inayolipa kama kubet kwa mtaji laki moja waweza pata elfu50 mpaka laki2 kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini shughuli zote za CAF wanatumia kifaransa
Au ndio lugha rasmi
Naangalia upangaji wa makundi live kutoka misri
Sent using Jamii Forums mobile app
daa meppen kashachana