Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unadhani wanaouza Tips/Odds hawana hela za kucheza ? Kuwa makini na majibu yako ndugu mn kuna kampuni nyingi sn zinauza odds unadhani mimi wakwanza ? Wake up kijana .


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kampuni zinazo uza predictions odd zipo nyingi na zina ama website au app kwa maana ya kwamba watatakua wanaweka daily odd free kuonyesha uwezo wao na watakua wanaonyesha win na lost za predictions zao daily
Kisha mteja atajiongeza ama anunue au aendelee na free odd
HIZO NDIO KAMPUNI ZA KUAMINIKA

Sasa wewe huna website wala app tutajuaje ufanisi wako?
Tutakutofautishaje na washenzi matapeli wauza odd ?
Nyie ndio mnakusanya predictions za free toka apps mbali mbali na kujifanya mnauza odd na majilinganisha na makampuni yanayouza predictions odd.......Nyambafu

This is home of great thinkers brah
Subiri utaona nondo hadi premium zinazoshushwa hapa na akina Pdidy nk ambazo ndio unataka kutuuzia

Kawauzie huko kwenye magroup yenu ya wasapu
Kama ni kampuni reliable tunajua pakuzipata na sio kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vizuri post yangu mkuu
Narudia tena Man u kipaumbele ni uefa cl
Siku 3 zijazo

Wanaweza kupumzisha key players kwa ajili hiyo
Uongo unatoka wapi?View attachment 1070229

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu! Man u hana focus saana na game ya UEFA kwa simple reason wanajua itakuwa kazi saana kutaka kupindua matokeo pale Camp nou mbele ya Barcelona coz Barcelona anakufa kirahisi saana nje lakini kwake..ni msako!

Wanafocus UEFA ijayo ambayo watakuwa wamesajili vya kutosha na chemistry itakuwa intact sasa namna pekee ya kushiriki tena UEFA ni kumaliza top 4 ndio maana mechi ya leo kwa Man U ni Muhimu kuliko ile ya Barcelona ambayo possibility ya kupindua matokeo ni ndogo saana mbele ya ile miamba yenye njaa na UEFA ya Spain.

Hivyo direct win kwa Man U leo ni best option kuliko tunavyofikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu! Man u hana focus saana na game ya UEFA kwa simple reason wanajua itakuwa kazi saana kutaka kupindua matokeo pale Camp nou mbele ya Barcelona coz Barcelona anakufa kirahisi saana nje lakini kwake..ni msako!

Wanafocus UEFA ijayo ambayo watakuwa wamesajili vya kutosha na chemistry itakuwa intact sasa namna pekee ya kushiriki tena UEFA ni kumaliza top 4 ndio maana mechi ya leo kwa Man U ni Muhimu kuliko ile ya Barcelona ambayo possibility ya kupindua matokeo ni ndogo saana mbele ya ile miamba yenye njaa na UEFA ya Spain.

Hivyo direct win kwa Man U leo ni best option kuliko tunavyofikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina wezekana mkuu
Ntasubiri nione kikosi

Unakumbuka psg lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri jaman nan atoke hapo
Screenshot_20190413-102102.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina wezekana mkuu
Ntasubiri nione kikosi

Unakumbuka psg lakini?

Sent using Jamii Forums mobile app
PSG hana consistency, experience disciplines wala composure walishapinduliwa matokeo ya UEFA zaidi ya mara tatu! Barcelona ni Kazi saana kumpindulia matokeo kwake. Kazi sana na Man U wanalijua hili ndio maana wameamua kuwa wapole tu.

Pia hakuna kitu kibaya kama Messi akiwa anataka jambo lake na alipledge mbele ya mashabiki wa Catalonia akiwa kasimama katikati ya uwanja kwamba moja kati ya vipaumbele vyake ni UEFA, kombe la ligi na Copa De rey ambapo kombe la ligi ndio almost tayari ndio kama washachukua.

Man U nitawashangaa sana kama wataidharau game ya leo.. Na sitegemei hili ila ngoja tuone lineup ikoje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa tuangalie timu ambazo zinagombania kuwepo kweny promotion chance maana hiz zinahitaji sana matokeo kipind cha mwisho kama hiki
 
Next to impossible mkuu

Ukitaka kukata tamaa mapema kabisa na betting
Basi uwe una bet kwa jinsi hii
Ukama iligusa gusa hisabati utakua unajua probability inavyo apply

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa sema nilishawah kutoa za aina hii mara kadhaaa huwa naweka waaina hii naweka stake ndogo then naweka mfupi max game 5 naweka stake kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawez pumzisha key player yoyote iv hujui vita iliyopo yavtop four yani a risk kuingia big four itayompeleka uko uefa tena aende kubishana nakina baca ambao dhahiri wamepita au hujui mpira mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo anayaua Ole Gunnar Solskjær na benchi lake la ufundi

Sisi wengine kazi yetu ni kutoa maoni na mitazamo kama unavyotoa wewe

So hakuna muongo hapa
Tunatofautiana mawazo tu mkuu

Btw shusha tips za leo basi
Maana wewe kazi yako huwa ni kupitia post za wenzako na kukosoa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom