Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha nife na simba vuvuzela any thing can happen
IMG_20190413_114958_206.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio siri 1xbet ni best company ambapo inakupa uwanja mkubwa sanaa ya mkamaria kugawana mpunga na mrusi
Ila haya makampuni yetu ya bongo siyataki,
Nasubiri line yangu ya safaricom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom